SectionsOffertoryUzipokee Sadaka

Uzipokee Sadaka

Ordinary Time,MarianOffertory
Chorus

/s/ { Uzipokee sadaka, ee Bwana Mungu tusikie, Bwana,

Uzipokee kwa wema, ee Bwana Mungu wetun/b/ Uzipokee sadaka, ee Bwana Mungu tusikie

Uzipokee kwa wema Bwana Mungu wetun/a/ Uzipokee sadaka, ee Bwana Mungu tusikie

Uzipokee kwa wema ee Bwana Mungu wetun/t/ Bwana Mungu wetu uzipokee sadaka zetu

Bwana uzipokee ee Bwana Mungu wetu } *2

Verse 2

[ b ] Twakutolea sadaka za ibada yetu

Zikupendeze zitupatie wokovu

Verse 3

Ee Bwana usikilize sala zetu

Tunazokutolea Bwana Mungu wetu

Verse 4

Ututakase kwa nguvu ya sadaka hii

Na tupate maondoleo ya dhambi zetu