Chorus
Uwinguni ulipo Mama, utufikishe na sisi
Uwinguni ulipo Mama, utufikishe na sisin
Verse 2
Sisi wana wako twakulilia,ntusikilize utuopoe
Verse 3
Tunaposhindana na Ibilisi,nutupe neema ya kufaulu
Verse 4
Mama wa Muumba tusimamie,nutukingie maovu yote
Verse 5
Nguvu za shetani zatuzunguka,nmama mwema we tusaidie