SectionsExitUwe Nasi Mama Maria

Uwe Nasi Mama Maria

Ordinary Time,MarianExit
Chorus

{ Uwe nasi Mama yetu Maria,nutushike mkono wanao } *2n{ Maisha yetu ni ya wasiwasintunakutegemea wewe Maria utusaidie } *2

Verse 2

Maombezi yako kwa Mungu yanatupa faraja sisi wanao

Mama tuombee

Verse 3

Peke yetu hatutaweza kuzishinda hizo nguvu za shetani

Utusaidie

Verse 4

Tunatamani furaha ya kuungana nawe huko mbinguni,

Mama tuombee