Utukuzwe
Ordinary TimePresentation of Gifts
Chorus
Utukuzwe, ewe Baba, Mungu, utukuzwe -
Aleluya aa
Kwani Yesu mfufuka ametualika -nutukuzwe x2
Baba Muumba ulimwengu
Aleluya x2
Verse 2
Tumepokea mkate, mazao ya mashamba
Ndiyo alama kwetu, ya wema wako mkuu
Verse 3
Ni tunda la bidii, ya mkono na ya moyo
Jalie iwe kwetu, chakula cha uzima n
Verse 4
Zawadi ya divai, kutoka mizabibu
Ndiyo alama kwetu, ya wema wako mkuu n
Verse 5
Ni tunda la bidii, ya mkono na ya moyo
Jalie iwe kwetu, kinywaji cha kirohon
Verse 6
Sifa kwako ee Mungu, kwa kuotesha mkate
Shukrani kwako Baba, kwa kutulisha sisi
Verse 7
Kwa pendo na fadhili, umetufurahisha
Ukatufkisha kwa sherehe yetu leon
Verse 8
Siku ya leo iwe kwa heshima na sifa
Na utukufu wako na kwa mafaa yako