Chorus
{ Utukufu ni wako na fahari Kristu
Daima hata milele Kristu Mungu wetu } *2
Verse 2
Mbingu mali yako, nchi nayo ni yako, Yesu Mungu wetu
Verse 3
Mataifa yote uliyoyafanya, wakusujudie
Verse 4
Na kwa haki yako na ukuu wako, wewe watukuzwa
Verse 5
Kweli Yesu njia na ukweli na uzima, tumwendee nanin