Verse 1
{ Utukufu na ukuu una yeye Bwana
Hata milele na milele } * 2
Verse 2
Ee Mwanakondoo
Astahili kupokea enzi na utajiri
Verse 3
Ee Mwanakondoo
Astahili kupokea nguvu na heshima
Verse 4
Ewe Mungu wangu
Mpatie mfalme hukumu pia na haki yako
{ Utukufu na ukuu una yeye Bwana
Hata milele na milele } * 2
Ee Mwanakondoo
Astahili kupokea enzi na utajiri
Ee Mwanakondoo
Astahili kupokea nguvu na heshima
Ewe Mungu wangu
Mpatie mfalme hukumu pia na haki yako