SectionsEucharistUtukufu (Misa Upendo)

Utukufu (Misa Upendo)

Ordinary Time,MarianEucharist
Chorus

[s] Utukufu kwa Mungu juun[w] Utukufu na amani duniani

Kwa watu wote wenye mapenzi

Kwa watu wote wenye mapenzinmapenzi mema (utukufu) *2

Verse 2

Tunakusifu tunakuheshimu,

Twakuabudu tunakutukuza

Tunakushukuru Mungu kwa ajili,

Ya utukufu wako mkuu

Ee Bwana Mungu, Mfalme wa Mbinguni,

Mu-ngu Baba, Mungu mwenye enzi,

Bwana Yesu Kristu, Mwana wa pekee,

Ee Bwana Mungu, ee Bwana Mungu

Verse 3

Mwanakondoo mwana wake Baba,

Uondoaye dhambi za dunia

Utuhurumie utuhurumie,

Pokea ombi letu ee Baba

Mwenye kuketi kuume kwa Baba,ntuhurumie utuhurumie

Kwa kuwa kwa kuwa, ndiwe peke yako,nmtakatifu mtakatifu

Verse 4

Pekee Bwana mkuu Yesu Kristu,npamoja naye Roho Mtakatifu

Katika katika utukufu wake,

Mu-ngu Baba a-amina.