Verse 1
Utukufu kwa Mungu juu mbinguni
Na amani kote dunianin(Kwa watu) wenye mapenzi mema
Chorus
n|s/a| Tunakusifu Baba, tunakuheshimu,
Twakuabudu sisi tunakutukuzan|t/b| Kusifu tunakusifu, heshimu,
Twakuabudu abudu tunakutukuza
Verse 3
Twakushukuru Mungu kwa ‘tukufu
Wako mkuu ewe Mungu mfalmen(Ee Baba) wa Mbingu Baba yetu
Verse 4
Bwana wetu mwokozi Yesu Kristu
Mwana wa pekee wake Mungun(Uliye) Mwanakondoo wa Mungu
Verse 5
Unayeziondoa dhambi zote
Za dunia utuhurumien(Pokea) pokea ombi letu
Verse 6
Wewe unayeketi kuume
Kwake Baba utuhurumien(Sikia) sikia ombi letu
Verse 7
Kwani pekee yako ndiwe Bwana
Pekee yako mkuu na mkombozin(Pekee) pekee Yesu Kristu
Verse 8
Kwa umoja wa Roho mtakatifu
Ndani yake Baba watukuzwan(Ee Yesu) milele na milele