SectionsEucharistUtukufu Kwa Mungu

Utukufu Kwa Mungu

Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,MarianEucharist
Verse 1

Utukufu kwa Mungu Mbingunin[Juu mbinguni]

Na amani kwa wateulen[Na amani kwa wateule]

Verse 2

Tunakutolea maombi yetu,

Tunakushukuru Mungu Baba Mwenyezi

Verse 3

Usifiwe Yesu Mkombozi wetu

Mwana wake Mungu sadaka yetu

Verse 4

Utuwie radhi ewe Mungu mwana

Unayeondoa dhambi za dunian

Verse 5

Ewe mwenye kuketi kuume kwa Baba

Utuhurumie utusikilize

Verse 6

Ewe peke yako ndiwe Mtakatifu

Peke yako Bwana peke yako Mkuun

Verse 7

Pamoja na Roho Mtakatifu

Katika utukufu wake Mungu Baba