Verse 1
Utukufu kwa Mungu mbinguni
Chorus
Na amani kwa watu duniani
Verse 3
Twakusifu na twakuabudu -
Verse 4
Utukufu kwa mwana wa pekee -n
Verse 5
Uliyemtuma kututafuta sisi -n
Verse 6
Utukufu kwa roho mtakatifu -
Verse 7
Utujalie uzima wako Baba. Amina. Amina.