SectionsEucharistUtukufu Kwa Mungu (Misa Luo)

Utukufu Kwa Mungu (Misa Luo)

Ordinary TimeEucharist
Chorus

Utukufu kwa Mungu juu--

Na amani kwa watu wenye mapenzi mema

Verse 2

Tunakusifu, tunakuheshimu tunakuabudun

Verse 3

Tunakusifu, tunakuheshimu, mfalme wa Mbingu

Verse 4

Ee Bwana Mungu, mfalme wa Mbinguni, Mungu Baba Mwenyezi

Verse 5

Ewe Yesu Kristu Mwana wa pekee, Mwana wake Baba

Verse 6

Mwenye kuondoa, dhambi za dunia, utuhurumie

Verse 7

Mwenye kuketi, kuume kwa Baba, pokea ombi letun

Verse 8

Peke yako Bwana peke yako mkuu peke yako mkombozi

Verse 9

Pamoja na Roho, Roho Mtakatifu, milele amina