SectionsEucharistUtukufu Kwa Mungu (Misa Imani)

Utukufu Kwa Mungu (Misa Imani)

Ordinary Time,MarianEucharist
Chorus

Utukufu kwa Mungu na amani kwa watu wote duniani *2

Verse 2

Tunakuheshimu tunakusifu,

Tunakuabudu twakutukuza

Verse 3

Tunakushukuru mfalme wa Mbingu,

Mwana wa pekee mwana wa Baba

Verse 4

Unayeondoa makosa yetu,

Utuhurumie tusikilizen

Verse 5

Kuume kwa Baba unapoketi,

Mtakatifu mkuu tuhurumien