SectionsEucharistUtukufu Kwa Mungu (Misa Fadhili)

Utukufu Kwa Mungu (Misa Fadhili)

Ordinary TimeEucharist
Chorus

[t] Utukufu kwa Mungu Mbingunin[w] Utukufu (kwako) Mungu Mbinguni

Na amani (kote) dunianin(kwa) watu wa mapenzi mema.

Verse 2

Tunakuheshimu tunakusifu,

Tunakuabudu twakutukuza ee Bwana

Verse 3

Tunakushukuru mfalme wa Mbingu

Mwana wa pekee mwana wa Baba ee Bwana

Verse 4

Unayeondoa makosa yetu

Utuhurumie tusikilize ee Bwana

Verse 5

Kuume kwa Baba unapoketi

Mtakatifu mkuu tuhurumie ee Bwanan

Verse 6

Roho Mtakatifu pamoja nawe,

Ndani yake Bwana unatukuzwa ee Bwana