Chorus
Utukufu kwa Mungu juu, na amani duniani,
Kwa watu wenye mapenzi mema *2
Verse 2
Tunakusifu tunakuheshimu
Sifa ni kwako milele yote
Tunakuabudu, tunakutukuza -
Twakushukuru kwa utukufu -
Mfalme wa mbingu, Baba mwenyezi -n
Verse 3
Yesu Kristu, mwana wa pekee -
Mwanakondoo, mwana wake Baba -
Uondoaye dhambi za dunia -
Utuhurumie utusikilize -
Verse 4
Unayeketi kuume kwa Baba -
Mtakatifu mkuu Yesu Kristu -
Na pamoja naye Roho Mtakatifu -
Ndaniye Baba. Amina. Amina -