SectionsEucharistUtukufu Kwa Mungu (Misa Centinary)

Utukufu Kwa Mungu (Misa Centinary)

Ordinary TimeEucharist
Verse 1

Utukufu kwa Mungu juu Mbinguni, Na amani iwenkwa watu wenye mapenzi mema duniani kote.

Chorus

Tunakusifu tunakusifu, tunakuheshimu

Tunakuabudu, tunakutukuza

Verse 3

Tunakushukuru Mungu kwa ajili, ya utukufu wako

Mkuu ee Bwana ni Mungu ndiwe mfalme wa mbinguni.n

Verse 4

Ee Baba mwenyezi Bwana Yesu Kristu, e mwana wa pekee

Ee Mungu Mwanakondoo wa Mungu mwana wake Baba

Verse 5

Mwenye kuondoa dhambi za dunia utuhurumie

Tuhurumie maombi yetu Bwana uyapokee

Verse 6

Mwenye kuketi kuume kwa Baba utuhurumie

Kwa kuwa ndiwe peke yako ni mtakatifu

Verse 7

Peke yako Bwana peke yako mkuu ewe Yesu Kristu

Pamoja naye Roho Mtakatifu milele yote.