Chorus
Utukufu juu kwa Mungu mbinguni
Na amani duniani kwa watu wa mapenzinwenye mapenzi mema.
Tunakusifu (Baba) tunakuheshimu.
Tunakuabudu (Baba) tunakutukuza.
Verse 2
Baba tunakushukuru kwa ajili ya utukufu,nutukufu wako mkuu
Verse 3
Ewe Mungu ni mfalme wa Mbinguni,
Mungu Baba, Baba ndiwe Mwenyezi.
Ewe Bwana Yesu Kristu ndiwe mwananwake Mungu, ndiwe mwana wake Baba.
Verse 4
Ewe Bwana Mungu Mwana kondoo wake
Mungu, Mwana wake Baba
Verse 5
Ewe mwenye kuondoa zetu dhambi zandunia, Bwana utuhurumie.
Verse 6
Ewe mwenye kuketi kuume kwake Baba,newe utuhurumie.
Verse 7
Ni kwa kuwa ndiwe uliye pekee yako
Mtakatifu, Bwana Yesu Kristu.
Verse 8
Na pamoja naye Roho Mtakatifu katikanutukufu wa Mungu Baba.