SectionsExitUtavuna Ulichokipanda

Utavuna Ulichokipanda

Ordinary Time,MarianExit
Verse 1

Shambani mwa Bwana, kuna kazi nyingi mbalimbali

Na kila mtu kile apandacho ndicho atakachovuna

Chorus

Utavuna ulichopanda, utavuna ulichopanda *3

Yesu Bwana ndiye mchungaji mwema

Utavuna ulichopanda, utavuna ulichopanda

Verse 3

Aliwaambia wanafunzi wake wakahubiri Injili

Na kila mtu kile apandacho ndicho atakachovuna

Verse 4

Na wewe ndugu usiyeamini unayetangatanga

Na kila mtu kile apandacho ndicho atakachovuna