SectionsExitUsinikemee Bwana

Usinikemee Bwana

Ordinary Time,MarianExit
Chorus

Usinikemee Bwana kwa hasira yako

Uniadhibu Bwana kwa ghadhabu yako,

Unihurumie ee Bwana Mungu wangu

Uniponye Bwana mwenyezi Mungu

Kwani mimi Bwana mimi ni dhaifu,nnatetemeka mpaka mifupanin{[b:] Ewe mwenyezi Mungu) –

Ukawie mpaka lini Bwana unigeukie uniokoe}*2

Verse 2

Na nafsi yangu imefadhaika sana,nwewe Bwana mpaka lini

Bwana urudi uiokoe nafsi yangununiokoe mimi Bwana

Verse 3

Nimechoka kwa kuugua kwangu nateseka kitandani

Kila usiku nalilowesha Godoro langunkwa machozi yangu

Verse 4

Jicho langu limeharibika kwa masumbufu ya dunia

Na kuchakaa kwa sababu ya haonwanaoniudhi mimi Bwana