SectionsExitUsiku Wa Raha

Usiku Wa Raha

ChristmasExit
Verse 1

{Usiku wa Raha, uwinguni kung'aa

Wachunga shambani waangazwa gizani } *2

Na Neno waambiwa la Mtoto mzaliwa

Verse 2

{Wachunga twende upesi

Tuje yakini tupate kuamini }*2

Aliyotuelezea Mungu Mwenyezi

Verse 3

{Wakaja haraka moyo kuwaka

Mwokozi mtafuta bandani wamkuta } *2

Maria na Yosefu na Mtoto Mtukufu