Chorus
Usifwe utatu mtakatifu.
Na umoja usio gawanyika *2
Verse 2
Sisi sote tutautukuza, kwa sababunametufanyizia huruma yake
Verse 3
Ee Bwana Mungu wetu, jina lako ninajabu popote duniani
Verse 4
Nikiziangalia mbingu zako, kazi yanvidole zako.
Verse 5
Mtu ni kitu gani hata umkumbuke, nanbinadamu hata umwangalie
Verse 6
Umemfanya mdogo punde kuliko
Mungu , umemvika taji la utukufu nanheshima.
Verse 7
Atukuzwe Baba na Mwana, na Roho
Mtakatifu