SectionsOffertoryUpokee Sadaka Yetu

Upokee Sadaka Yetu

Marian,Ordinary TimeOffertory
Verse 1

Upokee sadaka yetu *2,

Ee Bwana Mungu – twakutolea

Twakutolea – vipaji vyetu, Vipaji vyetu – sadaka kwako

Verse 2

Upokee sadaka yetu *2,

Ee Bwana Mungu –tunakuomba

Tunakuomba – uzipokee, Uzipokee – sadaka zetu

Verse 3

Upokee mazao yetu *2,

Ee Bwana Mungu – ni mali yako

Ni mali yako – twakutolea, Twakutolea – mazao yetu

Verse 4

Upokee na fedha zetu *2,

Ee Bwana Mungu –ni jasho letu

Ni jasho letu – twakutolea, Twakutolea – ni jasho letu

Verse 5

Upokee na shida zetu *2,

Ee Bwana Mungu – tunakuomba

Tunakuomba – uzipokee, Uzipokee – na shida zetu

Verse 6

Upokee mkate wetu *2,

Ee Bwana Mungu – ni kazi yetu

Ni kazi yetu – tunayofanya, Tunayofanya – twakutolea

Verse 7

Upokee divai yetu *2,

Ee Bwana Mungu – ya mizabibu, Ya mizabibu –ntunayopanda, Tunayopanda – kwa shamba zetu