Upokee Ewe Bwana
Presentation of Gifts
Verse 1
Upokee ewe Bwana
Chorus
Vipaji vyetu vitakase vibariki uvipokee
Verse 3
• Mkate wetu na divain• Fedha hizi na mazaon• Hayo yote mali yakon• Nyoyo zetu zenye toban• Twaungama kwa Mwanaon• Nia yake nia yetun• Utukuzwe kwa sadakan• Tubariki kwa sadaka