Verse 1
Upokee ee Bwana -n
Chorus
Vipaji vyetu vitakase vibariki uvipokee
Verse 3
Mkate wetu na divai -
Verse 4
Fedha hizi na mazao -
Verse 5
Hayo yote mali yako -
Verse 6
Nyoyo zetu zenye toba -
Verse 7
Twaungama na mwanao -
Verse 8
Nia yake nia yetu -
Verse 9
Utukuzwe wa sadaka -
Verse 10
Tubariki kwa sadaka -