SectionsEntranceUniondolee Dhambi

Uniondolee Dhambi

Lent,Lent,Lent,Lent,Lent,Lent,LentEntrance
Chorus

Uniondolee dhambi, nitakate,nunioshe niwe mweupe pe *2

Verse 2

Nakiri makosa yangu,nnaziona dhambi zangu,nunioshe niwe mweupe pe n

Verse 3

Mimi kweli mkosefu,ntangu kuzaliwa kwangu,nmwenye dhambi tangu tumboninmwa mama yangu

Verse 4

Hivyo unafanya vyema,nwewe unaponihukumi,nuna haki unaponiadhibu n

Verse 5

Wewe wataka unyofu,nule unyofu wa ndani,nnifundishe hekima moyoni

Verse 6

Niumbie moyo safi,nna uweke ndani yangu,nroho mpya iliyo thabiti.