Chorus
Uniondolee dhambi, nitakase,
Unioshe niwe mweupe pe *2
Verse 2
Nakiri makosa yangu, naziona dhambi zangu
Unioshe niwe mweupe pe
Verse 3
Mimi kweli mkosefu, tangu kuzaliwa kwangu
Mwenye dhambi tangu tumboni mwa mama yangu
Verse 4
Hivyo unafanya vyema, wewe unaponihukumi
Una haki unaponiadhibu
Verse 5
Wewe wataka unyofu, ule unyofu wa ndani
Nifundishe hekima moyonin
Verse 6
Niumbie moyo safi, na uweke ndani yangu,
Roho mpya iliyo thabiti.