Chorus
Unihurumie mimi Bwana
Nimetenda dhambi mimi Bwana
Ninakusihi ee Mungu wangu
Unisamehe makosa yangun(Niliyokutendea ewe Mungu wangunna jirani yangu *2)
Verse 2
Nami nimetengwa nawe Bwana nihurumie,
Mimi ni mkosefu
Verse 3
Naogopa uso wako unihurumie baba,
Mimi ni mkosefu
Verse 4
Wewe Baba Mwenye huruma unihurumie
Mimi nimetenda dhambi