Unapaswa Kuabudiwa
Ordinary Time,MarianThanksgiving
Chorus
Ni wewe Mungu wetu so-te
Uliyeumba mwanadamu ni wewe
Hakuna zaidi yako ni wewe
Uliyeumba mbingu na nchi ni wewe
Verse 2
Mungu wa mababu zetu ni wewe
Mungu wa mabibi zetu ni wewe
Ndiwe kimbilio letu ni wewe
Ndiwe tegemeo letu ni wewe
Verse 3
Hakuna Mungu mwingine ni wewe
Upaswaye kuabudiwa ni wewe
Ndiwe kimbilio letu ni wewe
Ndiwe tegemeo letu ni wewe
Verse 4
Umeumba vitu vyote ni wewe
Upaswaye kuabudiwa ni wewen
Verse 5
Umeumba na wanyama ni wewe
Upaswaye kuabudiwa ni wewe
Verse 6
Mungu wa miungu yote ni wewe
Upaswaye kuabudiwa ni wewe