Una Heri Wewe Uliyesadiki
Ordinary TimePrayers of the Faithful
Chorus
Una heri wewe, wewe uliyesadiki
Kwa maana yatatimizwa
Uliyoambiwa na Bwana aleluya
Verse 2
Moyo wangu wamwadhimisha Bwana
Na roho yangu imeshangilia
Mungu Mwokozi wangu
Verse 3
Kwa maana Bwana ameutazama
Kautazama unyonge wa mjaazi
Wake mjakazi wake
Verse 4
Kwa maana wewe kautazama
Tokea sasa vizazi wataniita
Mimi ni mbarikiwa
Verse 5
Kwani mwenye nguvu kanitendea
Kanitendea ametenda makuu
Nalo jina tukufu