SectionsExitUna Heri Una Heri

Una Heri Una Heri

Ordinary TimeExit
Chorus

Una heri una heri Mama Bikira Maria *2

Verse 2

Mama wa mwokozi, Maria, Mama Bikira Mtakatifu,

Mama bora mwenye huruma, 'takuheshimu siku zote Marian

Verse 3

Bikira uliyekingiwa, mbarikiwa Mama Maria

Bikira usiye na doa, 'takutukuza daima Maria

Verse 4

Uliyebarkiwa sana, kuliko wanawake wote

Uliyejaa neema nyingi, tunakusifu Mama yetu Maria

Verse 5

Mama mwenye usafi wa moyo Mama Bikira mpendelevu

Mama Malkia mwaminifu, una heri kweli milele Marian