Umwema Baba
Ordinary TimeThanksgiving
Chorus
Umwema Baba umwema,numwema Baba umwema x2
Verse 2
. Ulifungua maji ya bahari ya shamu,nwanao wakapita katika nchi kavu.
Verse 3
. Ulivunja ukuta wa mji wa Yeriko,nwanao waisraeli wakapata ushindi.
Verse 4
. Ee Baba waokoa, ee baba unaponya,nni wewe wainua hakuna kama wewe.
Verse 5
. Kwa kifo chake Yesu tumepatanwokovu, kwa damu yake Yesu sisintumekombolewa.n