Chorus
Umsihi mwanao Yesu, Maria,nasamehe makosa yangu
Anitoe mashaka yote, Maria,nyaliyomo moyoni mwangu
Maria unisaidie Maria, Maria uniokoe
Mimi mwanao mwenye dhambi
Verse 2
Nionee huruma mama, mimi niliye mpotevu
Mwili wangu ni dhaifu, kwa sababu ya dhambi zangu
Verse 3
Na magonjwa niponye mama, kwa jina la mwanao Yesu
Naye Roho mtakatifu, imarishe nguvu zangu