SectionsExitUmsihi Mwanao Yesu

Umsihi Mwanao Yesu

Marian,Marian,Marian,Marian,Marian,Marian,MarianExit
Chorus

Umsihi mwanao Yesu Maria asamehenmakosa yangu. Anitoe mashaka yote

Maria yaliyomo moyoni mwangu.n(Maria), Maria unisaidie, Maria (Maria)nuniokoe mimi mwanao mwenye dhambi *2

Verse 2

Nionee huruma Mama miminniliyemkosefu, mwili wangu ni dhaifu,nkwa sababu ya dhambi zangu

Verse 3

Na magonjwa niponye Mama kwa jinanla mwanao Yesu, naye Roho Mtakatifu,naimarishe nguvu zangu