SectionsBible ProcessionUmeniita Bwana Nipokee

Umeniita Bwana Nipokee

Ordinary TimeBible Procession
Chorus

Umeniita Bwana nipokee

Umeniita Bwana nipokee

Nimeitika wito niwe mtumishi wako milele*2

Umeniita Bwana nipokee

Verse 2

Umeniita Bwana, kufanya kazi katika shamba lako

Uniongoze, niwe mtumishi wako mwaminifu

Verse 3

Ulisema, ukitaka kunifuata, ukubali kuacha yote

Nami nimekubali wito wako

Verse 4

Bila wewe mimi siwezi kitu

Neno lako Bwana liniongozen