SectionsExitUlimi Na Uovu

Ulimi Na Uovu

Ordinary Time,MarianExit
Chorus

Ni nani awezaye kuufuga ulimi, ulimi, ulimi *2

Ulimi ni uovu huu, ulimi unaleta ugombanishin{ Ulimi ulimi ulimi, ulimi ulimi ulimi

Ulimi ulimi ulimi, ulimi kiungo kidogo

Lakini una sumu kali iletayo mauti } * 2

Verse 2

Ulimi ni kitu kiovu wala hakiwezi kutawalika

Lakini kimejaa uovu, uovu uletao mauti

Verse 3

Tazama tunamshukuru Muumba kwa kutumia ulimi

Na tena twatumia ulimi huo kuwalaani wenzetu

Verse 4

Tazama wote tumeumbwa kwa mfano na sura ya Mungu

Maneno ya laana kusifu yatoka kweli kinywa kimoja

Verse 5

n//hitimisho//n

Je chemichemi moja yaweza kutoa maji matamu

Je mti wa mpini waweza kuzaa zeituni

Wala chemichemi ya maji ya chumvi kutoa maji matamu

Je chemichemi moja yaweza kutoa maji machungu

Je mti wa zabibu waweza zaa tunda la mpini

Wala chemichemi ya maji ya chumvi kutoa maji matamu