SectionsEucharistUkarimu Wa Bwana Yesu

Ukarimu Wa Bwana Yesu

Marian,Ordinary Time,Ordinary TimeEucharist
Verse 1

Nani kati ya watala wote, wafalme wa dunia hii

Aliyewahi kuandaa karamu, akaalika watu wote

Chorus

{ Ni nani kama Bwana Yesu, mfalme wa mbingu na nchi

Anayetualika sote kwenye karamu aliyoiandaa,nbali tuwe na moyo safi } *2n

Verse 3

Sote tunaalikwa kushiriki, kwenye karamu yake Bwana,

Tukiwa tajiri au masikini, bali tuwe na moyo safi.n

Verse 4

Ishara ya mapendo makubwa kwetu, kutoka kwake Bwana Yesu

Kutoa mwili kutoa damu yake, kuzishibisha Roho zetun

Verse 5

Ni fundisho kutoka kwake Bwana, tuuonyeshe ukarimunkwa ndugu rafiki au majirani, daima maishani mwetun