SectionsExitUje Roho Mtakatifu Ii

Uje Roho Mtakatifu Ii

Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary TimeExit
Chorus

Uje Roho Mtakatifu, Uje Mfariji x2

Verse 2

Uje Baba wa maskini - Uje mfariji

Roho mtoa vipaji - Uje mfariji

Verse 3

U rafki mwema sana -

U mfutaji wa machozi -

Verse 4

Uwe mwanga wa mioyo -

Tuangaze toka mbingu -

Verse 5

Tia nuru akilini -

Na upendo mioyoni -

Verse 6

Osha machafuko yetu -

Na kuponya majeraha -

Verse 7

Uregeze ukaidi -

Pasha moto u baridi -

Verse 8

Bila nguvu yako wewe -

Mwanadamu hana kitu -n

Verse 9

Kwenye kazi u pumziko -

Kwenye joto burudisho -

Verse 10

Ufukuze mashetani -

Na amani tupe hima -

Verse 11

Wape waamini wako -

Paji zako zote saba -