Chorus
Ufurahi moyo wao wamtafutao Bwana *2n(mtakieni) Bwana (mtakieni) nazo nguvu zake
Utafuteni uso wake siku zote
Verse 2
Mshukuruni Bwana, liitieni jina lake
Wajulisheni watu matendo yake
Verse 3
Yeye Bwana ndiye yeye,nyeye ndiye Mungu wetu
Dunia yote imejaa hukumu zake