Chorus
{ Ufurahi moyo wao wamtafutao Bwana
Mtakeni Bwana nguvu zake
Utafuteni uso wake siku zote siku zote } *2
Verse 2
Mshukuruni Bwana liitieni jina lina lake
Wajulisheni watu matendo matendo yake
Verse 3
Zikumbukeni ajabu zake alizozifanya
Miujiza yake na hukumu ya kinywa chake
Verse 4
Yeye Bwana ndiye Mungu wetu ndiye Mungu wetu
Dunia yote imejaa hukumu zake