Ufalme Wa Mungu
,Ordinary TimePresentation of Gifts
Verse 1
Ufalme wa Mungu umekuwa kama yule
Aliyewaita watumwa wake
Akampa moja talanta tano na mwinginentalanta mbili na wa mwisho talanta
Talanta yako ndugu yangu uitumie kwa wote x2n
Usipoitumikia, utakuja kuangamia
Yule wa kwanza akaongeza talantantano na wa pili akaongeza ingine mbili,naliyepokea talanta moja alimjia Bwananwake na ile ile talantan
Talanta ya Bwana ndugu yangu talantanya Mungu uliyopewa uifanyie kazi,nusiifunike talanta yako uifche mwishonutakuja kuangamia