Chorus
Twendeni wote, twendeni wote
Tumwabudu Bwana ( kwa furaha )
Verse 2
Bwana ni mtawala amevaa utukufun
Verse 3
Mbingu zifurahi dunia ishangilie
Verse 4
Mashuhuda yake yanastahili imani
Verse 5
Anatutawala kwa haki na uamini
Verse 6
Tumpigie shangwe mwamba wa wokovu wetu
Verse 7
Njooni tumsujudu yeye aliyetuumba
Verse 8
Kwa nyimbo za sifa tujongee uso waken
Verse 9
Enyi waadili tukuzeni jina lake