Chorus
Twendeni wote kwa Bwana, atualikankaramuni, tukale mkate wa mbingu.
Verse 2
Yeye mwenyewe ni Mungu,
Na pia ni mwanadamu, jamani
Verse 3
Yeye ni mkate halisi,
Yeye ni shibe halali, jamani.
Verse 4
Yeye ni Mwana wa Mungu,
Mtawala Mkuu wa mbingu, jamani
Verse 5
Yeye ni penzi la Baba,
Yeye ni Neno la Baba, jamani.
Verse 6
Yeye ni mwanga wa kweli,
Tena ni njia ya kweli, jamanin
Verse 7
Yeye ni mpenzi wa wote,
Faraja kweli kwa wote, jamani
Verse 8
Yeye ni mlango wa mbingu,
Tuzo na heri ya mbingu, jamani.