SectionsEucharistTwendeni Wakristu

Twendeni Wakristu

Ordinary Time,MarianEucharist
Verse 1

Twendeni wakristu tumealikwa karamu ya Bwana.n

Chorus

Mwili wake, mwili wake ni chakula kweli

Damu yake, damu yake ni kinywaji kweli

Sistahili uje kwangu Yesu lakini sema neno moja,nna roho *3 yangu itapona *2n

Verse 3

Mwili wake Kristu ilitolewa kwa ajili yetun

Verse 4

Damu yake Kristu ilimwagika kwa ajili yetu

Verse 5

Ilitolewa kwa maondoleo ya dhambi zetu