SectionsBible ProcessionTwendeni Tukayatangaze

Twendeni Tukayatangaze

Ordinary TimeBible Procession
Verse 1

Twendeni tukayatangaze tuliyoyasikia *2n

Chorus

Tuliyoyasoma katika masomo

Tuliyofundishwa katika injili

Twendeni tukayatangaze tuliyoyasikia *2

Verse 3

Twendeni tukayahubiri katika mataifa

Verse 4

Twendeni kote duniani tupeleke ujumbe

Verse 5

Twendeni tukalieneze agizo lake Bwana

Verse 6

Twendeni tukayasambaze ulimwenguni mwote