Chorus
Twendeni ndugu tukatoe zawadi zetu kwa Bwanan
Katupa bure tutoe bure kwa moyo safi wa unyenyekezu
Verse 2
Twakutolea mkate nayo divai
Chorus
Bwana mungu upokee
Verse 4
Ni juhudi ya mikono yetu sisi
Verse 5
Twakutolea mazao ya mashambani
Uyabariki tukavune mara mian
Twakutolea na fedha za mifukoni
Utubariki Bwana na ututakase