Chorus
Twende wote mezani mwake
Tukale mwili na kuinywa damu
Ametualika Bwana Yesu kwa karamu
Verse 2
Yesu mwili na damu, chakula safi
Kishibishacho roho zetu
Twendeni sote tukampokee ametualika
Verse 3
Mimi ndicho chakula cha kushibisha
Kilichoshuka kwake Baba
Anayenila ataishi vema siku zote
Verse 4
Alaye chakula kwa kustahili
Hukaa ndani yangu mimi
Nami ndani yake siku zote asema Bwana