SectionsOffertoryTwendeni Kwa Bwana

Twendeni Kwa Bwana

Ordinary Time,MarianOffertory
Chorus

Twendeni kwa Bwana, kutoa zawadi

Na sadaka zetu, tumtolee Mungu kwa moyo

Verse 2

Twendeni kwa Bwana kutoa zawadi

Na sadaka zetu kwa moyon

Verse 3

Tutoe kwa Bwana hata fedha zetu

Ametujalia amani

Verse 4

Mkate na divai Baba upokee

Vyote mali yako pokea

Verse 5

Mungu wa amani Baba wa upendo

Pokea vipaji vyetu twaleta