Chorus
Twende wote tukatoe sadaka kwa Bwana.
Twende wote tukatoe sadaka kwa Bwana x2.n((twende) Twende tukatoe x2],ntwende wotentukatoe sadaka kwa Bwana x2] x2)
Verse 2
Tukatoe mkate, kiini cha ngano;
Twende tukatoe sadaka kwa Bwana
Verse 3
Tukatoe Divai, tunda la mzabibu;
Twende tukatoe sadaka kwa Bwana
Verse 4
Tukatoe mazao, ya mashamba yetu;
Twende tukatoe sadaka kwa Bwana
Verse 5
Nayo maisha yetu, anatutakasa;
Twende tukatoe sadaka kwa Bwana