Chorus
Twende sote nyumbani mwake,
Bwana Mungu (ae), twende sotennyumbani mwake aliyetuumba
Verse 2
Yeye ndiye kinga yetu-
Bwana mungu ae twende sote nyumbani mwake aliyetuumba
Yeye ndiye nguvu yetu- nbwana Mungu ae...
Verse 3
Yeye Bwana wa majeshi-
Bwana Mungu ae...
Yeye Mungu wa Yakobo-
Bwana Mungu ae...
Verse 4
Ni mfalme wa dunia
Bwana Mungu ae...
Ni mfalme wa mbinguni-
Bwana Mungu ae...
Verse 5
Ndiye Mungu wa wokovu-
Bwana Mungu ae...
Ni hakimu ya dunia-
Bwana Mungu ae...
Verse 6
Yeye apendaye haki-
Bwana Mungu ae...
Ndiye Mungu mwema kweli-
Bwana Mungu ae...