Chorus
Twende Nyumbani mwa Bwananhoya twende nyumbani mwa Bwna hoya *2
Tuimbe tushangilie tupige vigelegele tupige makofi hoya hoya * 2
Verse 2
Twende tumsifu kwa nyimbo za Zaburi wakistu hoya -
Tumsujudie twende tukamwabudu wakistu hoya
Verse 3
Twende tumsifu kwa ngoma na kayamba wakristu, hoya -
Tumsujudie twende tukamwabudu wakstru, hoya
Verse 4
Twende tukacheze vinanda na vinubi wakristu, hoya -
Tumsujudie twende tukamwabudu wakristu, hoya
Verse 5
Tujitayarishe kwa nyimbo zake Bwana wakristu, hoya -
Tumsujudie twende tukamwabudu wakristu, hoya