SectionsEucharistTwende Mezani Kwa Bwana

Twende Mezani Kwa Bwana

Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,MarianEucharist
Chorus

{ Twende mezani kwa Bwana tukale chakulan(cha Bwana) atualika (Bwana) Bwana

Sisi twende mezani kwake, tukale chakula } *2

Verse 2

Bwana asema, karibuni pasi wasiwasi

Mpate chakula, mkila mpate uzima ujao

Verse 3

Bwana asema, chakula nitakachowapa

Ni mwili wangu, kuleni mpate uzima ujao

Verse 4

Bwana asema, kinywaji nitakachowapa

Ni damu yangu, kunyweni mpate uzima ujaon